Umeshawahi kujiuliza ungekuwa mwanasiasa ungekuwa nani ? Jibu maswali haya nikwambie
Umeshawahi kujiuliza ungekuwa mwanasiasa ungekuwa nani ? Jibu maswali haya nikwambie
tuna wanasiasa wengi mahiri nchini wanaopendwa na wengi na kila mtu ana mwanasiasa wake anaemkubali, je unahisi wewe ungekuwa mwanasiasa ungekuwa kama nani ? jibu maswali yafuatayo kisha nitakupa jibu
tuna wanasiasa wengi mahiri nchini wanaopendwa na wengi na kila mtu ana mwanasiasa wake anaemkubali, je unahisi wewe ungekuwa mwanasiasa ungekuwa kama nani ? jibu maswali yafuatayo kisha nitakupa jibu

chagua jinsia yako
Nani anakuvutia kidogo kati ya hawa wanasiasa
katika maisha yako ni kipi kinanguvu zaidi kati ya hivi vitatu
jielezee wewe ni mtu wa aina gani kwa kutumia wanyama wafuatao
kama ungekuwa kiongozi ni kitu gani ungekipa kipaumbele zaidi kati ya hivi
Upo kisiwani peke yako na ukapewa ombi moja na Mungu kati ya haya, lipi litakuwa ombi lako
Kati ya mataifa haya matatu lipi unalipenda zaidi
Mke/Mme bora ni yule----
Paul Makonda
Paul Makonda
Kulongana na majibu yako haina ubishi kuwa kama ungeingia katika ulingo wa siasa basi ungefata nyayo za Mh Paul Makonda
Zitto kabwe
Zitto kabwe
Kulongana na majibu yako haina ubishi kuwa kama ungeingia katika ulingo wa siasa basi ungefata nyayo za Mh Zitto kabwe
January makamba
January makamba
Kulongana na majibu yako haina ubishi kuwa kama ungeingia katika ulingo wa siasa basi ungefata nyayo za Mh January Makamba
Halima mdee
Halima mdee
Kulongana na majibu yako haina ubishi kuwa kama ungeingia katika ulingo wa siasa basi ungefata nyayo za Mh Halima Mdee
Dk Asha Rose Migiro
Dk Asha Rose Migiro
Kulongana na majibu yako haina ubishi kuwa kama ungeingia katika ulingo wa siasa basi ungefata nyayo za Mh Asharose Migiro
Anna Makinda
Anna Makinda
Kulongana na majibu yako haina ubishi kuwa kama ungeingia katika ulingo wa siasa basi ungefata nyayo za Mh Anna makinda